SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA AINA ZA MANENO- KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
80 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Awe na uwezo wa kubaini aina za mmaneno

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kubaini matumizi sahihi ya maneno katika tungo mbalimbali za kiswahili

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze; kubaini aina saba za maneno

5. MAIN TOPIC
AINA ZA MANENO

6. SUB-TOPIC
Ubainishaji wa aina za maneno

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Kwanza, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
1. Chati za ukutani za aina za maneno na ufafanuzi wake 2. Vitu halisi. 3. Picha za vitu, watu na wanyama mbalimbali 4. Chati ya sentensi mbalimbali

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 10 1. Kwa kutumia vitu halis/picha waelekeze wanafunzi watunge sentensi mbalimbali 2. Wanafunzi watambue neon moja (nomino), kisha a) Wafafanue dhima yake katika sentensi husika. b) Katika jozi wabaini maneno mengine yenye dhima kama hiyo katika sentensi nyingine Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 40 Kwa kutumia maswali na majibu waongoze wanafunzi kufikia hitimisho la kundi la maneno kama hayo (nomino) wanafunzi kufikia hitimisho la kundi la maneno kama hayo (nomino) Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 10 Tumia utaratibu huo kufundisha aina nyingine za maneno. 5. Wanafunzi wafanye mazoezi ya kubaini aina za maneno kwa kutumia matini, Makala mbalimbali na chati ya sentensi. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 10 Tumia utaratibu huo kufundisha aina nyingine za maneno. Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 10 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA AINA ZA MANENO- KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256